Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1561181304918.jpeg
 
The touch of the Maestro.
mchana wa leo nilitaka kujaribu hiki kitendo alichokifanya dennis bergkamp takribani miaka 17 iliopita na kilichonikuta ajuaye ni dakatari wa viungo.
nimeng'oa kucha yangu ya kidole cha mguu pamoja na kiuno changu kimepinda kama pweza..
ukisikia iga ufe ndio hii
 
Back
Top Bottom