D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
sina muda wa kumsifia marehemu mtarajiwa, nchi mbovu, serikali mbovu, wachezaji wabovu, mashabiki wabovu,wanasiasa wabovu.Duhl!!
bado hamujafungwa goli la tatu mpaka muda huu?
uzalendo mwisho bungeni
kuna fala mmoja nilikutana naye uchawini basi siku hiyo alikula biriani la tausi, ebwana weee nyakati hizo tausi ndio wapishi maarufu wa pilau na biryani mjini zanzibar.KUPIGA MIAYO (YAWNING)
Lengo kubwa la kupiga muayo ni kuupoza ubongo baada ya joto kuzidi kwenye ubongo au baada ya ubongo kuchoka kufanya kazi.
Vile vile kama ukiwa umechoka au una njaa husabababisha oxygen kupungua kwenye damu na kwenye mapafu, hii hupelekea tatizo la kupumua, hivyo kupiga miayo husaidia kuingiza oxygen ya ziada mwilini ili irudishe mwili katika hali yake ya kawaida.
CAF na FIFA wanapaswa wairudie tena kuingalia mechi ya tanzania dhidi ya uganda kuna harufu ya ufisadi mule ndani.πππππgame imekwisha labda Kenya π°πͺ ndiyo watatubamiza 3 kwa nunge leo ni
2-0.