Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samahani sana, hata hivyo huyu mama ni binadamu kama tulivyo sisi, tenga muda angalau dakika tano, tafakari kidogo pindi lolote linaloweza kutokea dhidi yako na ukawa kama yeye.
Kisha nyanyua mikono juu mshukuru Mwenyezi Mungu kukufanya kama ulivyo
Ndugu yangu nimesikitika hali aliyo kuwa nayo zaidi ni huyo mtoto. Asante kwa ukumbusho brother
 
Tangu nijiunge na Jf hakuna mdada aliyewahi kuja Pm hata kunisalimia🤔🤔🤔njooni bas hata mnitukane mimi nitaridhika tu😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…