Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Halafu nimesikia kuwa kuna wabunge walioko huko huko Misri wamezipiga kavu kavu kwenye lobby ya hoteli....![]()
Wanasiasa wameiteka Taifa Stars Misri, wasanii unafiki kama kawa!
WANASIASA ndio zao! Kila kitu chenye kuvuta hisia za watu hukitumia kama mtaji wa kisiasa. Hata sasa, wanasiasa ni wengi Misri kiliko mashabiki kindakindaki wa mpira ambao liwake jua inyeshe mvua hawakosekani uwanjani. Mashabiki wachache waliokuwemo Chamanzi siku Stars ilipotoa sare na Lesotho...www.jamiiforums.com
Rangi yake na miguu vimenimaliza kabisa...WHOAAAA!!
Huyu binti amenibamba mbaya...Wakubwa kweli wanafaudu dah !!
View attachment 1136845
Rangi yake na miguu vimenimaliza kabisa...
Halafu nimesikia kuwa kuna wabunge walioko huko huko Misri wamezipiga kavu kavu kwenye lobby ya hoteli....
Wanasiasa....wazee wasiopitwa na kiki. Tena sasa kuelekea uchaguzi mh...
"Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kitundu amesababisha ngumi kuanguka katika hoteli ya Radisson mjini Cairo baada ya kumkashifu mbunge wa Baraza la wawakilishi mh Machano wakati wa kikao cha wabunge hao waliokwenda kutazama AFCON. Baada ya kitundu kufanya kitendo hicho Machano alisimama na kumkata mtama Kitundu kabla ya Pondeza na Mariam Msabaha kuingilia kati ambao nao kila mmoja alipigwa ngumi ya uso na Kitundu kabla polisi wa Misri kuingilia kati na kuwatuliza. Kitendo hicho ambacho kimefanyika mchana kweupe chini ya hotel hiyo kimeelezwa kuwa ni cha aibu na fedheha kwa Tanzania"Duh! Kama wamemtandika yule ndugai itakuwa poa sana.
"Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kitundu amesababisha ngumi kuanguka katika hoteli ya Radisson mjini Cairo baada ya kumkashifu mbunge wa Baraza la wawakilishi mh Machano wakati wa kikao cha wabunge hao waliokwenda kutazama AFCON. Baada ya kitundu kufanya kitendo hicho Machano alisimama na kumkata mtama Kitundu kabla ya Pondeza na Mariam Msabaha kuingilia kati ambao nao kila mmoja alipigwa ngumi ya uso na Kitundu kabla polisi wa Misri kuingilia kati na kuwatuliza. Kitendo hicho ambacho kimefanyika mchana kweupe chini ya hotel hiyo kimeelezwa kuwa ni cha aibu na fedheha kwa Tanzania"