Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Halafu nimesikia kuwa kuna wabunge walioko huko huko Misri wamezipiga kavu kavu kwenye lobby ya hoteli....

Wanasiasa....wazee wasiopitwa na kiki. Tena sasa kuelekea uchaguzi mh...
 
Duh! Kama wamemtandika yule ndugai itakuwa poa sana.
"Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kitundu amesababisha ngumi kuanguka katika hoteli ya Radisson mjini Cairo baada ya kumkashifu mbunge wa Baraza la wawakilishi mh Machano wakati wa kikao cha wabunge hao waliokwenda kutazama AFCON. Baada ya kitundu kufanya kitendo hicho Machano alisimama na kumkata mtama Kitundu kabla ya Pondeza na Mariam Msabaha kuingilia kati ambao nao kila mmoja alipigwa ngumi ya uso na Kitundu kabla polisi wa Misri kuingilia kati na kuwatuliza. Kitendo hicho ambacho kimefanyika mchana kweupe chini ya hotel hiyo kimeelezwa kuwa ni cha aibu na fedheha kwa Tanzania"
 
Duh! AIBU kubwa sana πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰ Watanzania kwa Watanzania mnaenda ugenini kushangilia timu yenu kisha mnaishia kuchapana makonde hadharani!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…