myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
FIAT hiyo mwendo mdundo..sijiu ni Somalia au..
Acha ushamba Moudy... ina maana huwezi kumfunga kiatu Mamsap.. hapo nani anaenjoy unafikiri?Wanaume wa mikoani..View attachment 1137301
Ile ya masaa matatu haina mpangilio wa vina , beti na notes.. sijui sauti ya kwanza..
Hivi hiyo ndio shepu ya Heart?
Inasemekana hivyo...Hivi hiyo ndio shepu ya Heart?
Hivi maneno anayoyaongeaga huyu Prof
Mpaka nimekupicture laivu akilini mwangu ukiimba bila vina na mizani for three hours non stop.... Fraggy bana [emoji16][emoji16][emoji16]Ile ya masaa matatu haina mpangilio wa vina , beti na notes.. sijui sauti ya kwanza..
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]