Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nahisi naye huwa anasingiziwa kama anavyosingiziwagwa Mugabe ...Kuna maneno hapo hata kwenye kamusi hayamo...Hivi maneno anayoyaongeaga huyu Prof
ni English kweli?
Nahisi naye huwa anasingiziwa kama anavyosingiziwagwa Mugabe ...Kuna maneno hapo hata kwenye kamusi hayamo...Hivi maneno anayoyaongeaga huyu Prof
ni English kweli?
Maana kila neno nililojaribu nimekosa.. nikafikiri kuna Dark Hidden DictionaryNahisi naye huwa anasingiziwa kama anavyosingiziwagwa Mugabe ...Kuna maneno hapo hata kwenye kamusi hayamo...
Hili ni bonge la ujiko kwetu wanaume wa mikoani aisee. Asante aisee [emoji122][emoji122][emoji122]Wanaume wa mikoani..View attachment 1137301
Inatakiwa u recall your last mechiMpaka nimekupicture laivu akilini mwangu ukiimba bila vina na mizani for three hours non stop.... Fraggy bana [emoji16][emoji16][emoji16]
15:5415:48
Kulikuwa hamna simu za mikononi... So no night chats..
Wacha we!