Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (30).jpeg
 
You are Welcome.. Good Morning SYB..pole na kufungwa!
Thanks Fraggy. I just woke up to your nice words of hope and encouragement. I believe this gonna be a good day, a day of new beginnings. God have used you today to inspire people and I am one of them ...and for that I wholeheartedly thank you [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

[emoji3591][emoji3591] Mi sishabikiagi mpira hivyo yote ni mamoja tu...
 
Thank you SYB..much appreciation 🙏🙏🙏
 
Hahahaha, usikute wanagombea mademu tu hawana lolote
"Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kitundu amesababisha ngumi kuanguka katika hoteli ya Radisson mjini Cairo baada ya kumkashifu mbunge wa Baraza la wawakilishi mh Machano wakati wa kikao cha wabunge hao waliokwenda kutazama AFCON. Baada ya kitundu kufanya kitendo hicho Machano alisimama na kumkata mtama Kitundu kabla ya Pondeza na Mariam Msabaha kuingilia kati ambao nao kila mmoja alipigwa ngumi ya uso na Kitundu kabla polisi wa Misri kuingilia kati na kuwatuliza. Kitendo hicho ambacho kimefanyika mchana kweupe chini ya hotel hiyo kimeelezwa kuwa ni cha aibu na fedheha kwa Tanzania"
 
Back
Top Bottom