Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha umenikumbusha O’level jamaa alikuwa na kunguru darasani kamweka kwenye mfuko. Darasa lote walikuwa wanajua basi siku ile kimya si kawaida darasani mpaka Mwalimu mmoja wa Physics akashangaa akasema sijawahi kuwaona mkiwa kimya kiasi hiki πŸ˜‚πŸ˜‚kimya kile ni kusubiri jamaa ambane kunguru kisha kunguru kutoa sauti kubwa na darasa lote kuangusha kicheko cha nguvu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Madagascar yangu yote kulikuwa na watundu kupindukia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…