Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha umenikumbusha O’level jamaa alikuwa na kunguru darasani kamweka kwenye mfuko. Darasa lote walikuwa wanajua basi siku ile kimya si kawaida darasani mpaka Mwalimu mmoja wa Physics akashangaa akasema sijawahi kuwaona mkiwa kimya kiasi hiki [emoji23][emoji23]kimya kile ni kusubiri jamaa ambane kunguru kisha kunguru kutoa sauti kubwa na darasa lote kuangusha kicheko cha nguvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madagascar yangu yote kulikuwa na watundu kupindukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ikawaje? Jamaa alifanya kweli? Walimu wa sayansi walikuwa wanaongoza kwa viboko na sitashangaa kama jamaa mvua ya viboko ilimnyeshea siku ile...
 
455922771_244462.jpeg
 
Back
Top Bottom