Asant sanaKaribu mkuu
Karibu sana. Gonga likes na weka cho chote unachotaka isipokuwa mambo ya fedheha na/au yenye kukera wengine (mf. Kushambulia imani za wengine n.k). Utaupenda uzi huu...Mimi mgeni jamni naomba mnikaribishe
Halafu ikawaje? Jamaa alifanya kweli? Walimu wa sayansi walikuwa wanaongoza kwa viboko na sitashangaa kama jamaa mvua ya viboko ilimnyeshea siku ile...Hahahahaha umenikumbusha O’level jamaa alikuwa na kunguru darasani kamweka kwenye mfuko. Darasa lote walikuwa wanajua basi siku ile kimya si kawaida darasani mpaka Mwalimu mmoja wa Physics akashangaa akasema sijawahi kuwaona mkiwa kimya kiasi hiki [emoji23][emoji23]kimya kile ni kusubiri jamaa ambane kunguru kisha kunguru kutoa sauti kubwa na darasa lote kuangusha kicheko cha nguvu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madagascar yangu yote kulikuwa na watundu kupindukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekupt mkuuKaribu sana. Gonga likes na weka cho chote unachotaka isipokuwa mambo ya fedheha na/au yenye kukera wengine (mf. Kushambulia imani za wengine n.k). Utaupenda uzi huu...
Twajuana kwa vilemba yahee [emoji4][emoji4]. Picha hii inafaa kuiweka kwenye fremu kabisaHahahahaha lol! Mie na weye waarabu wa Pemba...... Hivi aliyepiga hii picha wasiojulikana hawajamshughulikia!? Hii picha ni bomba sana.
I love that manWanaume wa mikoani..View attachment 1137301
Hivi haziuzwi kweli maaaana mda si mrefu natapa mtaji wa kutosha kabsaUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Twajuana kwa vilemba yahee [emoji4][emoji4]. Picha hii inafaa kuiweka kwenye fremu kabisa