Mimi mgeni jamni naomba mnikaribishe
Sikulaumu kamanda. Siku ile uliturusha roho eti unataka kufa unamsubiri Ziraili mtoa roho. Baridi la kule Ziraili hatakukosa. Afadhali tu ubakie huko huko Stendi Yunaitedi [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni manchester yunaitedi ya hapa kinondoni ipo ndondo mkuu wangu shimba na buyenza
Hiyo ni tochi, inatumia betri mbili kama sio tatu. Sikumbuki maana ni kweli nimeitumia zamani sana
Kanyaga Kanyaga [emoji109][emoji109][emoji109]