moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Pole ila usinywe pombe kwa sababu ya mwanamke
Wanawake sio viumbe wa kuaminiwa kabsa yaaani yamenikuta leo
Hawa viumbe ni hatari sana
Ngoja leo kwa mara ya kwanza ninywe pombe
Nipooze machungu
Aisee ni maumivu