Wanawake sio viumbe wa kuaminiwa kabsa yaaani yamenikuta leo
Hawa viumbe ni hatari sana
Ngoja leo kwa mara ya kwanza ninywe pombe
Nipooze machungu
Aisee ni maumivu
Mtu wamwisho usiku wa Leo kufunga Uzi huu
Kaanzishe uzi
Pole mwanangu
Pole we niamini mimi mama yako mdogo tu wengine usijaribu
Lazima niwe MTU wa mwisho hapa sikubali
Nyege si kitu kizuri sana kama tunavyofikiri,wala si jambo la kufanyia mchezo kama ambavyo wengi tunachukulia bali Nyege ni tatizo kama tatizo lingine serious ambalo linatakiwa litafutiwe ufumbuzi ili muhusika apate ahueni.
Nyege hufanya mtu awe na hisia za hali ya juu kuhusu masuala ya mapenzi iwe kufanya au kufanywa hivyo humpa wakati mgumu sana aliyepatwa na nyege hizo kwani inakuwa ngumu kufanya mambo muhimu kwa wakati huo kama vile kazi,kusoma hivyo huwa hatari sana kwa mtu kuendelea na shughuli za kawaida za uzalishaji mali
Kushikwa na nyege hizo ni suala moja na kutafuta suluhu ya nyege hizo ni jambo lingine kwani wengi tumezoea njia moja kuu ya kumaliza nyege ni kufanya ngono ili kuridhisha nafsi na hatimaye kutuliza munkari.
Lakini hiyo ni njia ya kwanza japo inachangamoto zake kwani si kila utakapohisi nyege utapata wa kufanyanae.
Pikipiki au kwa jina maarufu bodaboda, zinatumiwa na watu wengi sana kwa usafiri. Licha ya pikipiki kutumiwa kama usafiri, wengine huzitumia kama chanzo cha kipato chao cha kila siku.