AiseeeNikadhani nawe nawe ni under18, kumbe muhenga wa kitambo ka mimi[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji3][emoji3]Hahaha, mamdogo bhana
we ulilala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi silali kabisa
😀Numbisa Bwana .. Leo Umekuwa Doctor unafanya DiagnosisKama unatoa mkojo uliochanganyika na damu ikiambatana na maumivu ya mgongo au ya chini ya kitovu ni ishara unashambuliwa na baadhi ya maradhi ya figo na hasa uwapo wa mawe madogo kwenye figo ambayo kitaalamu yanaitwa kidney stones.
🤣🤣🤣🤣[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
😁😁😁Sawa ya muongo...View attachment 1137942
🤣🤣🤣🤣Nyege si kitu kizuri sana kama tunavyofikiri,wala si jambo la kufanyia mchezo kama ambavyo wengi tunachukulia bali Nyege ni tatizo kama tatizo lingine serious ambalo linatakiwa litafutiwe ufumbuzi ili muhusika apate ahueni.