The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Reason with Me
Duh!! Mauaji haya!!!!!!!
Chiii chiii chibongeee
😚😚5. Busu hujenga mapenzi zaidi, huongeza mapenzi ya dhati
Tendo la busu huwafanya wanandoa kuwa katika hali ya umoja zaidi kihisia. Hali hiyo huwaongezea upendo moyoni kwa kuwa tendo hilo huongea zaidi ya maneno na ndio maana wakati wa tendo hilo ukimya hutawala na hisia huongea zaidi.
Yes...If he dies he dies...
Huyu jamaa na ndugu yake nilikua nawaelewa sanaVladmir Klitchiko
Likely Bashite [emoji16][emoji16][emoji16]