Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d32286a6-7b2c-4fb0-80ce-d2f8da4d626d~2.jpeg
 
Njemba wengi wameanza kuyastukia majimama kwa kusikia sifa zao, soon yatakuwa adimu kupatikana stock zao zimeongezeka thamani sana. [emoji12]
Wanaume wengi wanapenda vimbaumbau japo hili wimbi la watu kupenda misambwanda kidogo linatutia shaka sisi wapenda tipwa tipwa. Tunaogopa wapenda vimbaumbau wasije wakahamia huku kwa matipwa tipwa kutafuta misambwanda wakaishia kutuharibia. Wapenda vimbaumbau bakieni huko huko aisee. Tusiingiliane kabisaa [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Back
Top Bottom