Wanaume wengi wanapenda vimbaumbau japo hili wimbi la watu kupenda misambwanda kidogo linatutia shaka sisi wapenda tipwa tipwa. Tunaogopa wapenda vimbaumbau wasije wakahamia huku kwa matipwa tipwa kutafuta misambwanda wakaishia kutuharibia. Wapenda vimbaumbau bakieni huko huko aisee. Tusiingiliane kabisaa [emoji36][emoji36][emoji36]
Siyo poa [emoji36]Njemba ndiyo zinahamia tena kwa utitiri baada ya kugundua siri ya mijimama.[emoji41]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]