capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
teh teh tehWe Mkorea wa Zenj aisee una mambo kweli kweli. Sijui huwa unafikiriaga nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Hayo maneno karibu yote kwenye kamusi zangu za TUKI na BAKITA hayapo pia. Ngoja tusubirie wajuzi....
Juzi nimekusalimia umenichuniateh teh teh
PLO Lumumba na kiingilishi chake kigumu alifunzwa adabu na yule mwanasheria wa timu ya raila odinga kwenye kesi ya kufutwa kwa uchaguzi wa Kenya.
mian-hae my chingu from Joseon.Juzi nimekusalimia umenichunia
Daah hilo jina ulilonipa sasa [emoji3][emoji3] mbona nilikualika ukagoma eti unaogopa kuwa shahidi ntakavyowagonganisha wale Korean princesmian-hae my chingu from Joseon.
acha leo nikusalimie mimi ili nifute dhambi yangu ya kumpuuza balozi wa JF.
HABARI ZA USIKU MPENDWA NA WENGI NDANI YA JF.
ahadi ya kunialika pilau sikukuu ya kuzaliwa bwana yesu bado ipo kwenye kumbukumbu zako?