Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama timu ya taifa ya Senegal itatwaa fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON’, basi furaha ya nyota wa timu hiyo, Sadio Mane itakuwa kubwa kuliko hata vile alivyotwaa Ligi ya Mabingwa Ulaya akiwa na Liverpool.
 
Mane alikuwa moja ya wachezaji muhimu katika kikosi cha Liverpool chini ya kocha wao Jurgen Klopp, msimu uliopita wa 2018/19 ambao waliweza kutwaa ubingwa wa Ulaya kwa mara ya sita.
 
3ce90fc2faadd7f9b4063179750eb510.jpeg
 
Back
Top Bottom