Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni moshi wa bangi jirani [emoji16][emoji16][emoji16]HE!! NINI HICHO
Hahahahah umenichekeshaHilo ni jina tuu.
Halina uhusiano na mission.Ila nikijikuta nywele nimenyoa na mission imefeli ntakuja Mwanza.Ntakaa pale kwenye samaki hadi nikudake😀😀😀
Duh! hayaNi moshi wa bangi jirani [emoji16][emoji16][emoji16]
.[emoji1787][emoji1787]Kweli nyani haoni kundule [emoji16][emoji16]
Bro, salama?
Natumaini siku inaenda vizuri hapo.
Hahahaha bradha banaHahah! Bradha bhana, ukishamdaka unamfanyaje?
Ahaa kumbeSasa kama anao wengi utampangia? 😂😂