Ukisikia true love ndiyo hii sasa. Kwema Bradha?![]()
My fiancee who was HIV+ now tested HIV-
Hello, Nina mpenzi wangu who is HIV+ for years now while I am HIV-. Alipata ujauzito miezi kadhaa iliyopita, nikampeleka Agakhan Hospital ili aweze kuanza clinic ya mama na mtoto, kama kawaida ni lazima wamama wachekiwe afya zao though tulikuwa tunajua status yake, hivyo tukamwambia Nurse there...www.jamiiforums.com
😀😀😀Sure bro.
Halafu hiyo ya vipara nimeisikia jana ofisini.Kuna kolegi wangu alikua anataniwa kuwa akitaka kufanikiwa kutongoza anyoe kipara na kuacha ndevu sema jamaa hana ndevu ndio maana akawa anataniwa.Sasa jioni nikakuta Prisca anashusha madini yaleyale 😀😀😀
Ulikuwepo alipokuwa anashusha madini juu ya mti wa mlonge mpaka tukambatiza Mama Mlonge? Kama hukuwepo muombe arudie tena somo lile. Nadhani ndiyo somo lake mojawapo lililobamba sana kuliko mengine yote...that's my rolo modo indeed wallahi The One and Only one Amun Ra Anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16]Sure bro.
Halafu hiyo ya vipara nimeisikia jana ofisini.Kuna kolegi wangu alikua anataniwa kuwa akitaka kufanikiwa kutongoza anyoe kipara na kuacha ndevu sema jamaa hana ndevu ndio maana akawa anataniwa.Sasa jioni nikakuta Prisca anashusha madini yaleyale [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwema bro.Ukisikia true love ndiyo hii sasa. Kwema Bradha?
Mti wa Mlonge sijaona, ngoja nikatafute notes.Ulikuwepo alipokuwa anashusha madini juu ya mti wa mlonge mpaka tukambatiza Mama Mlonge? Kama hukuwepo muombe arudie tena somo lile. Nadhani ndiyo somo lake mojawapo lililobamba sana kuliko mengine yote...that's my rolo modo indeed wallahi The One and Only one Amun Ra Anonimazi foreva [emoji16][emoji16][emoji16]
Kitu charie champlin hahahaha au kiduku kabisa
Ni kwa nini kirusi cha UKIMWI hakiwezi kuonekana moja kwa moja kwenye vipimo kama virusi vya magonjwa mengine? Ni kidogo sana na vipimo havina nguvu ya kukiona au inakuwaje? Hapa huwa pananitatiza japo naamini UKIMWI upo kwa sababu ushaua jamaa zangu wa karibu wengi tu.Kwema bro.
Bahati mbaya sana huwezi jua kama bidada anampenda kweli.Haya maisha haya.
Umeona hizo sintofahamu za UKIMWI?
Niyanyoa ile inaitwa "watapataTabuSana"Kitu charie champlin hahahaha au kiduku kabisa
😂😂😂
Akina nani sasa wataona wakati mlengwa ni mmoja hahaha wewe braza weweNiyanyoa ile inaitwa "watapataTabuSana"
Sasa kama anao wengi utampangia? 😂😂Akina nani sasa wataona wakati mlengwa ni mmoja hahaha wewe braza wewe
Hilo ni jina tuu.Akina nani sasa wataona wakati mlengwa ni mmoja hahaha wewe braza wewe
Ni wivu tu😀😀Sasa kama anao wengi utampangia? 😂😂
Hahah! Bradha bhana, ukishamdaka unamfanyaje?Hilo ni jina tuu.
Halina uhusiano na mission.Ila nikijikuta nywele nimenyoa na mission imefeli ntakuja Mwanza.Ntakaa pale kwenye samaki hadi nikudake😀😀😀
Hahah! Nacheka sanaNi wivu tu😀😀