Poa Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu [emoji120][emoji2534], heshima yako Mkuu.
Senki yu....Welikamu baki..Tulimissi michano yako jukwaani..
Uko poa?
Au ulipata Dengue?
ulinisalimia siku uliokuwa unachati na mzee wa code.[emoji3][emoji3][emoji3] ahsante BAK ila mimi nilikuwa namchokoza tu huyu rafiki yangu wala sikumbuki hata lini nilimsalimia
Mpooooo......