Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Barcelona inakaribia kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Ufaransa na Atletico Madrid Antoine Griezmann kwa dau la £107m baada ya kifungu cha sheria cha uhamisho wake kuanza kufanya kazi tarehe mosi mwezi Julai (Telegraph)
 
Ndombele aliichezea Lyon mechi 34 ,msimu uliopita huku ikifuzu katika mashindano ya ligi ya mabingwa baada ya kumaliza katika nafasi ya tatu ya jedwali la ligi ya daraja la kwanza.. (Sun)
 
 
Hizo huwa hazikosekani kikubwa uzima, afya na kuendeleza mapambano...

Naona mpo na Prisca anaendelea kuwapa madini tu, juzi kati nimemkuta na mambo ya Nyegezi jana kaja na mambo ya vipara
Sure bro.

Halafu hiyo ya vipara nimeisikia jana ofisini.Kuna kolegi wangu alikua anataniwa kuwa akitaka kufanikiwa kutongoza anyoe kipara na kuacha ndevu sema jamaa hana ndevu ndio maana akawa anataniwa.Sasa jioni nikakuta Prisca anashusha madini yaleyale 😀😀😀
 
Mshambuliaji wa Liverpool Divock Origi, ambaye alifunga katika ushindi wa Liverpool dhidi ya Tottenham katika fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya anasakwa na klabu ya Real Betis, huku klabu hiyo ya Uhispania ikiandaa dau la £10m kumnunua mchezaji huyo wa Ubelgiji . (BeIn Sports - in French)
 
Mshambuliaji wa West Ham na Mexico Javier Hernandez, 31,ana mipango ya kuondoka na kuelekea Uhispania na badala yake wana nyundo hao wameamua kumsajili mshambuliaji wa Uruguay na Celta Vigo Maxi Gomez. (Evening Standard)
 
Leicester imeshinda harakati za kumsaini beki wa klabu ya Luton na Uingereza James Justin kwa dau la £8m ikiwashinda Aston Villa na mabingwa wa ligi ya Uskochi kupata saini ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21. (Mirror)
 
Mlinda lango wa zamani wa Itali Gianluigi Buffon, 41, yuko katika hatua za mwisho za mazungumzo ya kurudi katika klabu ya Juventus kutoka PSG ambako alikua katika kandarasi ya mwaka mmoja kama mkurugenzi wa klabu hiyo. (Sky Italia via Football Italia)
 
Back
Top Bottom