Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huku ni county yangu 🙂🙂Only in Africa. Hatuko siriazi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1140244
Najua mkuu.Huku ni county yangu 🙂🙂
Hatujutii kutoa kitita hichoVirgil van Dijk – Miaka 26, Pauni 75 milioni
Januari mwaka jana beki wa kati wa Kidachi, Virgil van Dijk alifanya uhamisho wa ndoto zake wakati alipohama kutoka Southampton kwenda kujiunga na Liverpool. Hata hivyo, uhamisho huo uliigharimu pesa nyingi sana Liverpool na iliweka rekodi ya kumfanya Mdachi huyo kuwa beki ghali zaidi duniani ilipolipa Pauni 75 milioni kupata huduma yake. Lakini, jambo jingine ada hiyo inamfanya Van Dijk kuwa mwanasoka ghali kwa wenye umri wa miaka 26.
Hahah! Hapo sawaSiasa inachangia na kwa matukio ya wiki iliyopita jaguar