Kiungo wa kati wa Arsenal na Uruguay Lucas Torreira, 23, anasema kuwa AC Milan haijawasiliana naye kuhusu uhamisho katika klabu hiyo ya Serie A. (Talksport)
Bayern Munich imefanya mazungumzo na Paris St-Germain na ajenti wa mshambuliaji wa Ufaransa Ousmane Dembele kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. (Mirror)
Beki wa klabu ya Huddersfield Town na Uingereza Tommy Smith, 27, ananyatiwa na Stoke City pamoja na mabingwa wa ligi ya Uskochi Celtic. (Huddersfield Examiner)
Ujumbe utamfikia mkuu, asset geto la kijana cha maana vinguo vyake na jiko la mafuta ya taa lile..... Disease ishaingia Systemically so anahitaji matibabu ya kina. Akope au auze assets aende hosp akatibiwe (kimfaacho mtu ni kile alonacho) Pole kwake!
Since yesterday I haven't been able to go to work coz my neighbour cheated on his wife and she got angry and shouted at him that she will also have sex with all the neighbours.
I'm still there waiting for my turn but wapi nothing upto now, why are women liars??[emoji53][emoji53]mafisiii wakooo ndaaaaaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii mechi ya Kenya [emoji1139] na Tanzania [emoji1241] ni kama venye wewe na beshty yako mnaeza panga mnyandulianie dem, muone ni nani mkali but at the end of the day kuna mwenye atatii[emoji23][emoji23][emoji23]good evening?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.