Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Hali ni mbaya.Kuna hatari ya kupoteza huu mchezo
Hali ni mbaya.Kuna hatari ya kupoteza huu mchezo
KabisaTunafungwa goli la 3 kizembe kabisa
Hasa huu mchezo dhidi ya Kenya.Wapenzi wa soka wa Tanzania tunaimizwa sana kupoteza poteza mchezo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Amunike must goNashukuru, na kwako pia.
Mimi usiku ushaharibika hapa, sijui kama tunarudisha goli.
HahahahaWatanzania mniombee
Kabisa mkuuSiasa zinaharibu mchezo wa soka
Wazee wameshinda..