Safi mkuu mambo niajeSafi mkuu habari yako
Bashite anakosea sanaTujifunze kutenganisha siasa na mchezo wa soka
Selection ya wachezaji nayo muhimu naona kocha wetu ana wachezaji wake mfukoniHivi ni team selection tatizo au uwezo mdogo wa wachezaji wetu?
Morning kaka
Amunike anakusalimiaWatanzania zaidi ya milioni 55 tunakuwa wanyonge kwenye mchezo wa soka pasi na sababu za maana
Hahahahaha[emoji1][emoji1]View attachment 1140823
Kweli kabisaArsenal v Man United,
kadi 223
Kwa miaka ya karibuni, Man United na Arsenal mechi zake zimekuwa na upinzani mkali sana. Hakuna timu inayopenda kupoteza kizembe kwenye mechi za aina hiyo na ndiyo maana zimekuwa na ushabiki mkubwa.