Habari za asbh wanalikes
Kwema jamani!?
Hivi ni team selection tatizo au uwezo mdogo wa wachezaji wetu?Morning Mkuu
Kweli kabisa Olunga hatari sana
Malalamiko ya selection ya Taifa stars yapo sahihi
Sawasawa....Tujifunze kutenganisha siasa na mchezo wa soka