Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_4856.JPG
 
Okello na Mapinduzi ya Zanzibar: Ukweli na uzushi
Makala hii ya Ahmed Rajab ilichapishwa kwa mara ya kwanza katika gazeti la Raia Mwema la tarehe 4 Aprili 2012 chini ya kichwa cha habari “Maruhani hawakupindua Zanzibar”.
View attachment 1140638
Nimekuwa nikisubiri kwa shauku kubwa hitimisho la makala za mwandishi mwenzangu wa Raia MwemaJoseph Mihangwa kumhusu John Okello.

Mfululizo huo wake wa makala zake kuhusu Okello na Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 ulikuwa ni majibu ya maandiko yangu juu ya mada ya Okello. Kwenye sahafu (safu) ya leo nataka kuyajibu baadhi ya yaliyomo kwenye majibu yake.
Hivi ni kweli huyu jamaa ndiye alindaa mapinduzi ya ZNZ au Karume
 
Back
Top Bottom