myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Pendezaaaa....
Pendezaaaa....
[emoji818][emoji818]
Hata najua basi!??!! Nilikomenti ili nipate likes tu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mzee Baba unataka kusema umekosa nini[emoji848]
HIV yupo ila utata upo kwenye AIDS.Kuna mtu aliyewahi kukiona hicho kirusi cha UKIMWI laivu? Kama yupo alitumia vipimo gani na kwa nini vipimo vingine visikionyeshe moja kwa moja?
Kuna tatizo mahala kwenye hii ishu. Sipati picha watu wa conspiracy wanavyotibuka na hii ishu...
Nimekupata bro. Dunia ya watu hii. Nitajielimisha zaidi kuhusu suala hili katika pande zote mbili. Asante sana.HIV yupo ila utata upo kwenye AIDS.
Na wanadai HIV yupo kabla ya 1998 ila AIDS imejulikana hiyo 1998 na haijulikani kwanini AIDS haikuwepo kabla ya 1998 licha ya kuwa HIV alikuwepo.i.e kabla ya 1998 watu wote waliokua na HIV walikua ni career tuu, kirusi hakikudhuru afya zao.Na hata baada ya 1998 bado kuna watu wenye HIV na hawana AIDS(career).
Deception anadai ARVs ndio zinasababisha Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) kama ambavyo chemotherapy inawadhoofisha baadhi ya wagonjwa wa Cancer kama sio wote.
Wanawake wengine (siyo wote) katili sana.![]()
Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana
Habari wakuu Japo sio swala jipya ila hata hii ni yenyewe[emoji22] SITOMWAMINI MWANAMKE TENA Nimeamua kulielezea hili kuhusu wewe mwanamke tuliyedumu ktk mahusiano kwa muda wa mwaka mmoja. Sio siri kwa sasa umenipa wakati mgumu sana ktk mapenzi na sikutegemea kama ungenifanyia jambo gumu...www.jamiiforums.com
Wanawake wengine (siyo wote) katili sana.