capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nani anataka video chat na mimi?
Nilisema siwezi kukupotezea Mpendwa wangu Hawachi,.. Nilikua tight sana mwezi huu...Capitapool mpendwa miss you, toka nikupe namba ya yule mrembo Umenipotezea 😃😃😃
Usisahau kunipa kadi ya harusi mpendwa wangu.Nilisema siwezi kukupotezea Mpendwa wangu Hawachi,.. Nilikua tight sana mwezi huu...
Nashukuru nipo kwa hatua za mwisho sasa,..
Unaendeleaje Hawachi?
Kadi ya harusi tena mpendwa wangu?Usisahau kunipa kadi ya harusi mpendwa wangu
Mzee baba kwa yule mtoto alivyo kisu unataka kuleta ufisi pale.Kadi ya harusi tena mpendwa wangu?
Hii discussion hapa si mahali pake mpendwa wangu Hawachi 😃Mzee baba kwa yule mtoto alivyo kisu unataka kuleta ufisi pale.
Hahahaha kesho tukijaliwa mpendwa.Hii discusion hapa si mahali pake mpendwa wangu Hawachi 😃
Sawa mpendwa wangu Hawachi. Uwe na usiku mwema.Hahahaha kesho tukijaliwa mpendwa.