capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mzee baba kwa yule mtoto alivyo kisu unataka kuleta ufisi pale.
Nsha kosa kitu hapa....Hii discussion hapa si mahali pake mpendwa wangu Hawachi [emoji2]
Mzee Baba unataka kusema umekosa nini🤔Nsha kosa kitu hapa.... View attachment 1139434
Hapooooo......
AiseeKiungo David Silva amethibitisha hatokuwepo katika kikosi cha Manchester City (England) baada ya kuitumikia mara ya mwisho katika msimu ujao.
Kweli....Alexis Sanchez (Chile)
Kama kuna mchezaji ambaye Manchester United inaweza kushawishika kumtoa bure basi ni Alexis Sanchez kutokana kiwango chake cha soka anachokionyesha kwenye kikosi hicho.
[emoji818][emoji818]
Wapi hiyoooo....
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]