Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha wa Man United, Ole Gunnar Solskjaer anataka kusajili beki mpya wa kati na sasa akili yake ipo kwa Koulibaly baada ya kuona kwamba anaelekea kuzidiwa kete na Manchester City huko kwenye usajili wa beki wa kati wa Leicester City, Harry Maguire.
 
Beki mwingine wa kati anayesakwa na Man United ni Raphael Varane wa Real Madrid, lakini itakuwa ngumu kwa sababu staa huyo kwenye mkataba wake umewekwa kipengele kinachohitaji kulipiwa Pauni 430 milioni kwa timu inayohitaji saini yake.
 
Back
Top Bottom