Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lakini mambo yake yamekuwa tofauti kabisa anapokuwa kwenye soka la ngazi ya klabu, amekuwa hana makali kabisa ya kutisha licha ya kubahatika kucheza kwenye timu kubwa Ulaya kama AC Milan. Alipotoka hapo, alirudi kwao Japan na sasa amekuwa akifanya tu shughuli za ukocha kwenye Timu ya Taifa ya Cambodia.