Salama kabisa mkuuSalaam wakuu
HahahahahaTimu yetu ya taifa "Taifa Stars" ndiyo kama mlivyosikia
Hahah! Pole mkuunilipitiwa na usingizi kwa takribani masaa matatu.
hii habari ya kenya kushinda imeniongezea uzito wa kg 5 muda huu.
Ukweli mchunguSasa hi dhahiri kwamba timu yetu inaishia hatua ya makundi