mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ya kweli hayo maana kuna
Timu Ndugai na Timu Makonda hahaha dah bongo bahati mbaya sana
Nasikia mtoto mteule wa baba alikuwa amewaahidi Vitz kila mchezaji kama wangeshinda. Hii mbona hamasa kubwa tu? [emoji16][emoji16]*Wakenya walimpeleka kwenye kambi ya timu ya taifa kuhamasisha wachezaji Donald Maliga mtu ambae ni legend wa soka la Kenya mtu ambae alishawahi kucheza fainali ya UEFA, wachezaji wanatamani kuwa kama yeye, hata alichokiongea pale kambini kinahusu football*.
*Sisi watanzania tumepeleka mwanasiasa kwenda kuhamasisha wachezaji, matokeo yake anaongea na wachezaji kuhusu ilani ya CCM na jinsi CCM itakavyokuwa inashinda kila siku*.
*Watanzania Mungu atusamehe tu.*
Yap MJJordan,
Yap MJJordan,