Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1561590042230.jpeg
 
Anazeeka vizuri sana huyu jamaa. Halafu kimyaa huwezi kumsikia akihangaika na mambo ya kijinga kama maselebriti wengine weusi. Hata mambo ya skendo za wanawake na ishu zingine hizi nooo. Akiguswa na jambo anatoa milioni zake kadhaa kuchangia halafu humsikii tena. The GOAT ndani na nje ya basketball...
Mfano mzuri wa kuigwa
 
Nasikia mtoto mteule wa baba alikuwa amewaahidi Vitz kila mchezaji kama wangeshinda. Hii mbona hamasa kubwa tu? [emoji16][emoji16]
Hahahaha
Aliwahidi Serengeti boys hivyo hivyo matokeo yake tukaambulia patupu
Unajua mkuu hii ni kama kuna mgonjwa hospital anahitaji tiba lakini hakuna wa kumlipia bill zake sasa siku akifa anakuja mtu anajitokeza mm gharama za jeneza natoa mm ,mwingine kaburi nitangea mm,mwingine usafiri hata kama kutoka mtwara to mwanza anatoa ,wangetoa pesa hizo kwa matibabu uwezi jua mgonjwa angepona,
Unahahidi vits ujui kambi ya maandalizi ilikuwaje na ujagharimikia chochote
 
Back
Top Bottom