mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Nimekupata Prisca. Hapa katikati ni kama vile u King alitaka kunyang'anywa...[emoji16][emoji16][emoji16]Sio bro ita king hahahah
Utaona. Kama hii ni kweli ACT itakuwa overloaded wataanza kugombana muda si muda...Duh! Kumbe wapo kwa spesho misheni
Hahah! Utamuweza huyu PriscaKwema Bro (Prisca anasema bro eti nakushushia hadhi inabidi nikuite King). Nimeona hivyo vidole nikakumbuka vile vidole orijino vilivyokuletea matatizo wakati bado uko mgeni katika uzi huu [emoji16][emoji16]
View attachment 1141043
Si kwa kucha hizo bro. Hata mwanamke wa Dar hapo atashangaa...Huoni hata mpendwa Hawachi zimemtatanisha?Hahah! Mwanamke wa mkoa anashangaa
Zipo na kazi zake maalumuEti mpendwa kwako ni urembo au una kazi nazo nyingine (sorry 🙏🙏)
Hapana bro huku hawazishangaiSi kwa kucha hizo bro. Hata mwanamke wa Dar hapo atashangaa...Huoni hata mpendwa Hawachi zimemtatanisha?
Aisee Sawa mpendwa ufugaji mwema.Zipo na kazi zake maalumu
Kazi kweli kweli [emoji16][emoji16]
Gwiji Ben Mtobwa...
Katalunya ni jina la uwanja wa Barcelona. Hivyo shabiki wa barca wanajiita wakatalunyaNimekupata Prisca. Hapa katikati ni kama vile u King alitaka kunyang'anywa...[emoji16][emoji16][emoji16]
Pia nasikia sikia Mkatalunya. Hilo nalo lina maana gani?
View attachment 1141055