Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Bro Ninge ukuje huku. Hawa siyo wale jamaa waliokupiga 5K kiulaini eti wanakuunganisha na bando la chuo lisiloeksipaya? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 

Halafu hiyo namba ya simu mnakwenda kuifanyia nini? Nyinyi mnapataje pesa?

Akili za kuambiwa....[emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Dogo anahangaika huyu dah!

Unafiki mtupu. Kama huridhiki na mfumo uliomo unafanya maamuzi magumu unajiuzulu kama wanavyofanyaga wenzetu huko Ulaya. Kama serikali/mfumo ni dhalimu na wa kipumbavu na wewe ni sehemu ya mfumo huo huo wa kipumbavu; na bado umo humo humo unatukana wapumbavu wenzio, wewe una unafuu gani?

Heshima kwa watu kama Nyalandu ambao kweli wanaonyesha kutoridhika kwao kwa vitendo siyo hawa opportunists na waangalia upepo wa kisiasa unakoelekea ili wajiambatishe nao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…