Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amun Ra mane lavusi mi ende ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai indeed wallahi ...malkia wangu The One and Only one [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1141168
Mpaka hii unayo kweli ww mzee wa data
Hahahaha
 
Tumshukuru Mungu kwa kila siku hapa duniani. Mwanaume huyu amekufa akipambana. Japo tunajisahau sana lakini maisha yetu hapa duniani ni ka nukta tu (pengine kasiko hata na maana sana) katika mpango mzima wa kimalimwengu. Tu wasafiri na tunapita katika kasayari ketu haka kazuri kwa kasi ya kutisha Tumkumbuke Muumba wetu na kutenda mema kwa binadamu wenzetu ili hata tukiondoka tuondoke kwa amani.

Mwanaume huyu mpambanaji kaimaliza safari yake akipambana. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…