Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20190628-WA0107.jpeg
 
Tumshukuru Mungu kwa kila siku hapa duniani. Mwanaume huyu amekufa akipambana. Japo tunajisahau sana lakini maisha yetu hapa duniani ni ka nukta tu (pengine kasiko hata na maana sana) katika mpango mzima wa kimalimwengu. Tu wasafiri na tunapita katika kasayari ketu haka kazuri kwa kasi ya kutisha Tumkumbuke Muumba wetu na kutenda mema kwa binadamu wenzetu ili hata tukiondoka tuondoke kwa amani.

Mwanaume huyu mpambanaji kaimaliza safari yake akipambana. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1141170

Wapi hii bro
 
Ase!!wanaume kwenye mihangaiko tunakutana na shuruba za kiana,ni kudra zake Mungu tu kutupambania na kutuweka hai..
 
Back
Top Bottom