mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Acha tu bro,halafu jamaa alikuwa anasound mstarabu wa nguvu,tunashare uzi fresh tu,,kumbe mpigaji!!ni vile hakujua jinsi gani nimeihangaikia
Tumshukuru Mungu kwa kila siku hapa duniani. Mwanaume huyu amekufa akipambana. Japo tunajisahau sana lakini maisha yetu hapa duniani ni ka nukta tu (pengine kasiko hata na maana sana) katika mpango mzima wa kimalimwengu. Tu wasafiri na tunapita katika kasayari ketu haka kazuri kwa kasi ya kutisha Tumkumbuke Muumba wetu na kutenda mema kwa binadamu wenzetu ili hata tukiondoka tuondoke kwa amani.
Mwanaume huyu mpambanaji kaimaliza safari yake akipambana. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1141170
Ase!!wanaume kwenye mihangaiko tunakutana na shuruba za kiana,ni kudra zake Mungu tu kutupambania na kutuweka hai..Tumshukuru Mungu kwa kila siku hapa duniani. Mwanaume huyu amekufa akipambana. Japo tunajisahau sana lakini maisha yetu hapa duniani ni ka nukta tu (pengine kasiko hata na maana sana) katika mpango mzima wa kimalimwengu. Tu wasafiri na tunapita katika kasayari ketu haka kazuri kwa kasi ya kutisha Tumkumbuke Muumba wetu na kutenda mema kwa binadamu wenzetu ili hata tukiondoka tuondoke kwa amani.
Mwanaume huyu mpambanaji kaimaliza safari yake akipambana. Apumzike kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1141170
HahahahaHahah! Ushaanza sasa mzee mwenzangu