Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema amemuandikia barua mwenyekiti wa NEC kumtaarifu kuwa kiti cha ubunge jimbo la Singida Mashariki kipo wazi kutokana na mbunge Tundu Lissu (Chadema) kutokuwepo bungeni bila taarifa na kutokujaza fomu ya tamko ya mali na madeni.
Ndio nasikia kua nae huwa anacheka sanaSijaelewa swali lako Davet kwamba Fisi nae huwa anacheka.
Inawezekana mkuuNdio nasikia kua nae huwa anacheka sana
ππππ