classic jam!!nipo naangalia bet awards,nimeona perfomance yao,wapo vizuri
King haujambo?Noma sana noma sana
Asante me nilijua P
Sijambo za kwako?King haujambo?
Sana mkuu,sema kama wamezingua baadhi ya category,kwenye best actress kumpa Regina King kila mtu alitegemea Regina Hall au Taraji PIlikuwa bomba sana Mkuu.
Classic never get old[emoji122][emoji122]
Duh! Noma sana