No wonder wananchi wamechoka, there is a report of abduction to the police and yet they need evidence again? For how long will it take to find the evidence then and how sure are they that the abducted will stay safe till that evidence is found? Utani na maisha ya watu mpk ln?
Wakuu!! Ndugu Raphael Si Ameshawapa Password Za Accounts Za Boss Wake? Si Mmeshatumia Account Hizo Kujisifia Na Kujiunga Mkono? Sasa Mbona Mnaendelea Kumteka Jamaa? Muachieni Sasa! Mkewe, Watoto, Ndugu Na Marafiki Wanamuhitaji #BringBackRaphaelOngangi
Kuendelea kunyamaza kimya wakati ndugu zetu wanatekwa na kupotezwa hakukufanyi uwe salama kitu pekee ambacho kitaifanya Tanzania yetu iwe mahali salama pa kuishi ni mimi na wewe kupaza sauti na KUKEMEA vitendo vya utekaji na upotezaji wa ndugu zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.