mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Haha tatzo lake ndio hilo,muda sio rafiki...Ile michuano tatizo muda wake tu, kama unasubiri mpambano wa boxing ....
Robo final bro
Brazil ndio kafuzu kucheza nusu final usiku wa kuamkia leo ila kwa mbinde sanaaa, matuta ndio yakaamua.....Haha tatzo lake ndio hilo,muda sio rafiki...
Brazil na Argentina bado wapo kwenye hatua hii?
🎶Say my name...
Noma sana noma sanaLady in red [emoji173][emoji173]View attachment 1141272
nP or n
Brazil ndio kafuzu kucheza nusu final usiku wa kuamkia leo ila kwa mbinde sanaaa, matuta ndio yakaamua.....
Argentina ndio usiku wa leo anakipiga na Venezuela ...