mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Kwema mzee wa liver?
Muda wa mechi si Rafiki kabisa mm naangalia marudio sana sanaUnafatilia Copa America ilivyokua na ushindani?
Ile michuano tatizo muda wake tu, kama unasubiri mpambano wa boxing ....Si kivile sana bro,nafatilia juu juu tu,,wamefika hatua gani bro
Kwakweli muda ni changamoto sana broMuda wa mechi si Rafiki kabisa mm naangalia marudio sana sana
Kwema mkuuKwema mzee wa liver?
HahahahaIle michuano tatizo muda wake tu, kama unasubiri mpambano wa boxing ....
Robo final bro
Mi thitaki uchokozi wako hivyoo.. !
Unampa nani nafasi bro? Mimi naona Colombia wako vizuri zaidiHahahaha
Heeeeh.. mbona hata kwa macho haukuli!Sisi tutakua lini bro? Akina Fraggy tutawala kwa macho mpaka lini? [emoji848][emoji848][emoji848]
Jicho lako limeona kama languUnampa nani nafasi bro? Mimi naona Colombia wako vizuri zaidi