Shukrani bro,bhasi tu bro ndio life lipo hvyo,hatuwez kufanana binadamu wote..
Niaje pande hzo?
Ukweli mchunguView attachment 1141080
Ukweli mchunguView attachment 1141080
ndoto!, na bahati nzuri hakuna zuio kwa kila mtu kuota atakavyo
Ameongea alichosema Spika
Kwa Ndugai yupo sahihi kwa hiliView attachment 1141089
Hahaha huku kwema mzee,yupo poa kama yule uliyekuwa unamuimbia ngoma za SisqoHuku powa sana vipi Pande hizo, Mzee wa hijabu
Old Town Road
classic jam!!nipo naangalia bet awards,nimeona perfomance yao,wapo vizuriFew minutes ago I was listening to this beautiful song.