Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1561590624300.jpeg
 
Maajabu ya Mwenyezi Mungu ndani ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, mito miwili inapokutana na kuwa mto mmoja bila maji yake kuchanganyikana. Mto KASAI na mto MAYINDOMBE.View attachment 1142065
Akija mzungu hapo kupiga utafiti si ajabu akaweza kuelezea tukio hili kisayansi tu. Utasikia pengine ni tofauti kubwa za density za hayo maji. Au sababu zingine...na makalikyulesheni juu akaweka...Tukio hili lipo pia sehemu zingine duniani japo sikumbuki nilisoma wapi....

Kwetu sisi mambo mengi tusiyoweza kuyaeleza ama ni miujiza ya Mungu au ni ushirikina [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Chelsea wanampango wa kumtangaza Frank Lampard kuwa kocha wao mpya kabla ya wachezaji kurudi mpaumzikoni wiki ijayo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao. plan to announce Derby. (Sun)
 
Kumefanyika mkutano baina ya viongozi wakuu wa Atletico na Real Madrid juu ya usajili wa usajili wa mshambuliaji Antoine Griezmann, 28, kuelekea dimba la Bernabeu. (L'Equipe - in French)
 
Back
Top Bottom